
Usiku mmoja, wakati akiwa ni mwanafunzi wa utabibu katika mji mmoja huko Ghana, katika hali ya mwujiza Mungu alimpaka mafuta Dag Heward-Mills wakati alipokuwa akimsubiri Bwana. Alipakwa mafuta kwa namna isiyo ya kawaida na kusikia maneno, "Tangu sasa na kuendelea unaweza kufundisha. . ." Wito huu usio wa kawaida ndio uliomwongoza kwenye huduma iliyosambaa duniani kote.
Es wurden noch keine Bewertungen abgegeben. Schreiben Sie die erste Bewertung zu "Kitabu cha Sherehe" und helfen Sie damit anderen bei der Kaufentscheidung.