
Hofu iliitawala dunia baada ya genge hatari sana la madawa ya kulevya, kufanya shambulizi la kikatili na kufanikiwa kunyakua teknolojia hatari sana ya uundaji silaha ambayo ingekuja kuleta shida ulimwenguni hapo baadaye
Umiliki wao kiharamu wa teknolojia hiyo wakitaka kuifikisha kwa mshirika wao awaundie silaha hiyo. Ulileta hofu kubwa si kwa wanausalama hadi magenge mengine yaliyokuwa hayana ukaribu nao. Wakaazimia kuingilia kabla haijafikishwa kwa walengwa waunde silaha.
Afrika ya mashariki na nchi za Ulaya waliamua kuungana na kutuma wanausalama wao. Walipofanikiwa kuingilia na kuikamata ila changamoto inakuja kujulikana wamepata nusu tu ya teknolojia. Nyingine haipo na genge lile nalo linajua harakati zao.
Es wurden noch keine Bewertungen abgegeben. Schreiben Sie die erste Bewertung zu "Gemini 99" und helfen Sie damit anderen bei der Kaufentscheidung.